Nikiwa katika dimbwi la mawazo ndani ya week hii nikitafakari nusu mwaka ushapita kuna vitu fulani bado havija kaa sawa..... ninachomshukuru Mungu nina afya,ninakula, ninaamka nakuendelea kufurahia vyoote alivyonibariki LAKINI, kuna hiki kipengele kinachosema NITAKUINUA KUTOKA KIWANGO KIMOJA KWENDA KINGINE nielewavyo mimi hapa haijalishi upo katika hali gani.......... cha msingi ni wewe mwenyewe kujielewa na kuamini kuwa inawezekana na pia kufanya nafasi yako.( ninaelewa jinsi ilivyokuwa kazi hasa kwa wale waanzilishi mfano unataka kuwa mfanyabiashara mkubwa lakini huna babu wala bibi aliyekuachia hata shilingi yakuanzia mtaji kwi! kwi! kwi! patamu hapo lakini pazuri maana siku utafurahia jasho lako) cha msingi usikate tamaa najifunze kuthubutu, kuna wakati niliwahi kuwaza km labda ndoto ninazoziota sio zangu ni kwa ajili ya watu fulani fulani asikwambie mtu INAWEZEKANA. Ninachoweza kusema ni hichi..., NAMSHUKURU MUNGU SANA TENA SANA KWA HAPA NILIPO MAANA YEYE PEKEE NDIO ALIYETUTOA NAKUTUFIKISHA HAPA lakini sitaki kuridhika na hapa nilipo nataka nishuhudie na nione kwa macho zile ahadi NITAKUKETISHA NA WAKUU, UTAJIRI ULIYOFICHIKA NI WANGU,FEDHA NA DHAHABU NI MALI YA BABA NA MIMI NI MRITHI, SITAKUWA MKIA BALI KICHWA...................... inawezekana kabisa mpaka sasa hakieleweki na umeshakata tamaa ukidhani ile ndoto haita tokea tena kwa mwaka huu............. ngoja nikutia moyo kwakukwambia hivi< ndoto yako inaweza kujibiwa siku moja ndani ya miezi kumi na miwili ya mwaka......... usiache kufanya juhudi na kupiga goti.......kiukweli hapa hata Mama wawili bado hakijaeleweka mwaka huu (material things) lakini naamini ni lazima kieleweke nakitaeleweka tuu....... siku hizi shetani huwa hanisumbui kichwa huwa nampa vithibitisho na kumwambia huyu Mungu wangu aliyenibarikia hivi vitu in 3-4 yrs nilivyomwomba na niliviona vitisho vyako shetani lakini ukachemsha huyu huyu ndie atakae nishindia haya ninayoyaomba sasa.......
joke( nimeamua kuachilia baraka zangu simnajua 2015 ndio hiyo naanza kujinadi mapema mkiniona mjengoni mjue kabisa nimeingiaje kwi kwi kwi! maana msije mkaniita fisadi mtoto) jamani utani unaruhusiwa ikiwa kweli poua........
back to the topic
tuliomba, tukaamini, na tukauona utukufu wa Bwana....... hatujatulia bado tunakaza buti mpaka kieleweke.........HATUTA KUFA MPAKA TUSIMLIE MATENDO MAKUU YA BWANA
MJENGO TUNAOISHI
joke( nimeamua kuachilia baraka zangu simnajua 2015 ndio hiyo naanza kujinadi mapema mkiniona mjengoni mjue kabisa nimeingiaje kwi kwi kwi! maana msije mkaniita fisadi mtoto) jamani utani unaruhusiwa ikiwa kweli poua........
back to the topic
tuliomba, tukaamini, na tukauona utukufu wa Bwana....... hatujatulia bado tunakaza buti mpaka kieleweke.........HATUTA KUFA MPAKA TUSIMLIE MATENDO MAKUU YA BWANA
MJENGO TUNAOISHI
UGONJWA WA VIJANA
MJENGO TUNAO MILIKI TZ HAYA........ HII SIRI SIJAWAHI KUSHUHUDIA KIFUPI NI KWAMBA TUNAMILIKI KAMPUNI KALE KAOFISI NINACHOWAONYESHAGA NDANI MWANGU HABARI NDIO HIYO MABOX YANAONGEZA TUU.............USICHEZEE OPPORTUNITY HATA SIKU MOJA HUWA HAIJIRUDII...........
KUMBUKUMBU LA TORATI
28 “Na itatukia kwamba ikiwa hakika utaisikiliza sauti ya Yehova Mungu wako kwa kuwa mwangalifu kutenda amri zake zote ninazokuamuru leo,+ Yehova Mungu wako atakuweka juu, juu ya mataifa mengine yote ya dunia.+ 2 Nazo baraka hizi zote zitakujia na kukufikia,+ kwa sababu umeendelea kuisikiliza sauti ya Yehova Mungu wako:
6 “Utabarikiwa unapoingia ndani, na utabarikiwa unapotoka nje.+
7 “Yehova atawafanya adui zako wanaoinuka juu yako washindwe mbele yako.+ Kwa njia moja watakuja juu yako, lakini kwa njia saba watakimbia kutoka mbele yako.+8 Yehova atakuagizia baraka kwenye maghala yako ya chakula+ na kila kazi unayofanya,+ naye hakika atakubariki katika nchi ambayo Yehova Mungu wako anakupa wewe. 9 Yehova atakuweka kuwa kikundi chake kitakatifu cha watu,+ kama vile alivyokuapia,+ kwa sababu uliendelea kushika amri+ za Yehova Mungu wako, nawe umetembea katika njia zake. 10 Na vikundi vyote vya watu wa dunia vitalazimika kuona kwamba jina la Yehova limeitwa juu yako,+ nao kwa kweli watakuogopa wewe.+
11 “Yehova pia atakufanya ufurike kwelikweli kwa ufanisi katika uzao wa tumbo+ lako na uzao wa wanyama wako wa kufugwa na mazao ya udongo wako,+ katika udongo ambao Yehova aliwaapia mababu zako kwamba atakupa wewe.+ 12 Yehova atakufungulia ghala lake zuri, mbingu, ili kunyesha mvua juu ya nchi yako katika majira+yake na kubariki kila tendo la mkono wako;+ nawe hakika utakopesha mataifa mengi, hali wewe mwenyewe hutakopa.+ 13 Na Yehova kwa kweli atakuweka kuwa kichwa wala si mkia; nawe utakuwa juu tu,+ wala hutakuwa chini, kwa sababu unaendelea kutii amri+za Yehova Mungu wako, ambazo ninakuamuru wewe leo ili uzishike na kuzifanya.14 Nawe usigeuke kando ya maneno yote ninayowaamuru ninyi leo, upande wa kuume au upande wa kushoto,+ kutembea kwa kuifuata miungu mingine ili kuitumikia.+
15 “Na itatukia kwamba ikiwa hutasikiliza sauti ya Yehova Mungu wako kwa kuwa mwangalifu kutenda amri yake yote na kanuni zake ninazokuamuru wewe leo, laana hizi