Pages

Ads 468x60px

Thursday, February 28, 2013

FLASHBACK 2007

Leo pita pita zangu sinimekutana nazo......... nimekumbuka mbaaaali sana enzi za mwalimu hahahahahaaaa!!!!! japo kuwa tunabeba mabox kwa sasa one day Yes bwana.......... haviozi hivi lazima kitaeleweka kwi! kwi! kwi



some of my family.......... Goti na mie mtoto wa mkulima..... am so proud of my self


 Baba yangu waki roho Ubarikiwe sana Baba kazi yako si Bure kwa kweli umetumika sana katika safari yangu na ashukuriwe Mungu kwa kutuinulia mtumishi aliyekubali kutumika........ wapi ma mc wangu mnaikumbuka hiyo.......... mweeeee

alichezaje bibi yao Careen & Cristabell.......... wapi  mzee wa single button mwe sijui hata km anaikumbuka hiii....... watu tumetoka mbali bwana

this is for you bro SASALI

Wednesday, February 27, 2013

LISA'S BIRTHDAY DINNER

Poor girlfriend , she had no idea of all these........all she knew was coming to my house just for a visit hahahahahaaaa!!!! we love you Lisa ............

gorgeous couple ( Lisa & Beny)
she always wear her smile no matter what............... super and very strong lady

mama wawili did it yeeeeh!!!!do not hesitate to contact me for any fuctions...........Birthday, wedding na mengineyo kwi kwi kwi!!!!
we have one thing in common with this lady........ guess what??????? THE FOOD
US
with Baba wawili....
Go girl   am behind you hahahahaaa!!!
happy people

hapo chacha.......
the only wife
girls you made it thank you so much our bby had a fab. time .read this


Bibi nae alikuwepo akishangaa tuu shughuli inaendaje

mtu na mama yake

Monday, February 25, 2013

LA FAMILY

Same day  i had to take the kids somewhere,  ooh!! yes  rocking the same dress in different style chezea mama wawili , in my luv luv nilihakikisha kuna shirt, flat shoe and sunglasses  to match the event........... 
happy mama........
Angels..........

with their friend Davina

Dada yenu siku hizi mkono umenyooka check nilivyozisokota nywele za Cristabell kwi kwi kwi! zile $80 za every 2weeks   zimeponaje????? tukiamua tunaweza.....

kulikoni hapo.......
nimezoea kuona watoto wananyonya kidole ila huyu mwanangu kidole puani heeee!!!
it was fab day
nimeshaanza kuona kipaji cha urukaji hapa we unaonaje mdau....
Dad yao akisababisha

we are home........yeeeeeeh!!!
we love you all wadauz........

Sunday, February 24, 2013

THE LOOK


muke yake 
mama yao in her private lounge
i love this dress  am rocking only for $20

WHAT DO YOU THINK OF MY NEW LOOK MDAU??????
MAMA BEYOU
mchicha umekubali sijielewi kwa nini nauficha fichaa!!!! nahisi nimekariri mwanamke lazima uvae wigi au?????? sijielewi kwi kwi kwi!

Friday, February 22, 2013

HABARI YA MUJINI


 JE WEWE UNAISHI NJE YA NCHI, UMETESEKA NA WAPI PAKUJIFIKIA KWA NAFASI JUST FOR A SHORT STAY UWEPO NCHINI,AU UKO MIKOANI WATAKA KUJA MUJINI KULA BATA?????4T'S TARVEN NDIO JIBU LAKO
    NYUMBA YA VYUMBA VITATU HIYO WEWE NA WENGINEO MNAJIACHIA.

WANAPATIKANA MBEZI LOUIS. ULINZI WAKUTOSHA,FULL KIYOYOZI,JIKO,UMEME UKIKATIKA USITIE SHAKA GENERATOR LINAHUSIKA.............

FRONT VIEW



MTEJA KWAO NI MFALME
kwa mawasiliano, piga 0784 312199, booking tuma email thetarvenfourt@yahoo.com

Thursday, February 21, 2013

THE LOOK


MAMA YAKE WA CAREEN & CRISTABELL NA MUKE HALALI YA SLAY.....


Wednesday, February 20, 2013

YAISHEEE......

Wandugu naona topic ya jana imegusa sana hisia za watu duuuu........ mama wawili alijiombea msamaha mapema  alijua hili litatokea lakini asingeweza kuvumilia angekabwa tiba yake ilikuwa lazima asema and thats her  huwezi mbadilisha...............

tufikie hatua tuache mahubiri ya utoto jamani km maziwa tushanyonya, tukomae tuambizane ukweli, tusonge mbele.nanukuuu "ukitaka kuwa na waumini wengi waongelee mambo ya baraka, km mabinti wambie nyie  endelee na tabia zenu za kuchuna mabuzi Mungu atawabadilisha taratibu, bila kuwambia acheni dhambi lakini, mwisho wa siku lengo nini?????? kujaza watu au kuwasaidia watu wajue kweli??????" some of us we have been there guys........  nikujidanganya nakupoteza muda.....thanks God tulipata watu wakutuambia ukweli tukajipanga upya na kunia  na neema ikatujilia.........na ashukuriwe huyu Mungu anayeangalia tumemalizaje na sio tumeanzaje kama sivyo sijui nani angesimama.................. nawapendajeee dada yenu.

haya basi tumalizie Topic yetu  na hii clip aliyenyanyuka na anyanyuke aliekaa na akae hapo hapo  wanyalu tunasema, kalaga baho..................

muke yake tofauti ya 11000 na 10001 ya maneno ndo hii hahahahaaaa




Monday, February 18, 2013

TUZUNGUMZE

   
Kwa kweli lazima nilisema nisiposema litanikaba bure mnisamehe bure wandugu................

Yaliojiri huko nilikojificha last week, kwa kweli namshukuru Mungu anazidi kunitoa ushamba mwee vitu nilivyokuwa naviona kwenye luninga  ya jicho moja sasa hivi naweza kuviona live  live...... jina la Bwana libarikiwe.... yawezekana kwako ni kawaida  kwa mama wawili ni ushuhuda 
.Alijisemea na Mama Mchungaji wangu " km si neema ya Bwana kunitoa kwenye vichwa vya dagaa na nyanya moja unayotia mchuzi mwiiiingi ili upate mboga yakula na watoto week nzima leo nachagua nile nini meza imejaa, fridge imejaa, bank account sijui lini itakauka na haitakauka zaidi yakuongezeka milele" nimenukuu.
haya back to the topic, usiku mmoja tukiwa tunakula dinner hako kajisehem nikakiposh aisee si utani...... watu wanafanya mambo yao na hakuna anayeshoboka na mwenzie mmmmh!!! mama wawili yalinishinda bwana  kwi kwi kwi wanajisemea wenyewe  kazi kweli kweli......... nilikaa  jirani na hawa watu haikuwa karibu sana ila kwa sababu hawa wandugu walikuwa free walijiachia sana kiasi kwamba nilipata kila kitu nilichotaka kutoka kwao kupitia vitendo na hata mazungumzo.

mwanaume alionekana kati ya umri wa 50-60 ila ukimuona tuu unasema huu ni mgodi unaotepembea  binti alionekana 30-35 sasa basi katika zile fujo zakudeka deka binti hatulii, mara karukaruka, mara kasimama mara kaongea kidogo kwa sauti na yote hayo mzee ye anafanya kiutu uzima huku akibembeleza mtoto hahahahaaa( bongo tulikuwa tunawaita makatembo, mapedezeee,sijui siku hizi mnawaitaje ila ndo hao hao) pale ndo akili yangu ikaanza kufanya yao kutaka kujua kulikoni?????? umbea.com ila saa nyingine unahusika ili ujifunze kitu

mara simu ikapigwa zee linamuomba binti amruhusu kupokea binti "its okey honey you can talk to her" mwanaume kasua sua mpaka simu ikakatika  mara message inaingia anaanza kusoma jamani dharau iliyoonyeshwa pale uuuwiiiiii moja kwa moja akapewa binti asome kicheko kilikoleajeeeee???? mara binti darling let us stick to our business........i wanna go for a tour in france before june this year binti hajamaliza kuonge mzee kakohoa Yes honey i will take you aaaaaggggggrrrrrr!!!!!! niligundua anayedharauliwa ni mke ambaye  anajitahidi kwa nafasi yake kuonyesha love kwa mumewe ambaye sijui alimuaga anaenda wapi kumbe kajificha kwenye nyota tano na mtoto anabembeleza.........mama wawili nilikuwa nimemaliza yangu  mpaka hapo nilihisi kutenda dhambi maana nilikuwa natamani ninyanyuke niwape vibao vya uhakika they dont know the real meaning of a wife uuuwiiiiiiiii.

KWA NINI NIMEONA NIKUSHIRIKISHE MDAU

hii ni kwa wale walimo kwenye ndoa na wanaojiandaa hapa hakuna mdhungu wala mchina wala muhindi wote ni wale wale hawa ninao wazungumzia hapa niwazungu sijaona tofauti na kaka zangu wabongo....... piga goti mwanamke lia na  Mungu wako akupe mume aliyetoka kwake. km atakuwa msukuma haya, mwarabu haya usitumie nguvu na akili zako eti kwa ule ujinga tuliojazwa eti ........ ndo bora kuliko........... uongo mtupu na utajuta my dear....

Haya na nyie wakina naniliiiii km yule binti, wapenzi mi sijui umepitia nini mpaka ukachaguo hiyo life style yakina katembo lakini hivi ni kweli kabisa umejaribu njia nyingine halali umeshindwa, au ndo kujiridhisha kwa  mda mfupi then majuto maisha yako yote??????? unawaza nini juu ya yule mke mwema ambaye anasugua goti kwa ajili ya Mumewe ambaye anajua kwa wakati huo anawajibika kwa ajiri ya familia yake, hivi unafikiri Mungu wake ni kiziwi hata asisikie maombi yake???????? najaribu tuu kuwaza km ningechukua video clip nikampelekea  yule mke mwema how does it feel??????? halafu kuna sababu gani kuruhusu  kumzungumzia kwa ubaya mkiwa mnafanya tabia yenu chafu , bora hata huyo basi alifichwa sehem ya maana na ahadi zakupelekwa tour ambayo watoto wamjini mnaita life... to me its nothing.......that is not life at ol  uvivu wakufikiri na kutaka urahisi wa maisha.......kuna wale ambao kipato chake ndo hivyo halafu unafichwa kwenye vi guest vya uchochoroni hata kutoka nje mnatoka kwa zamu km matahira vile hakuna muelekeo zaidi zaidi chipsi kuku na kubadilisha nguo, mwisho wake nini sasa???heeeeeee!!!! nyie haya 

MUNGU HAWEZI PUUZIA CHOZI LA HAKI YA MWANAMKE YULE......... IT IS JUST A MATTER OF TIME........ AMUA LEO KUACHA, TUBU, NA JIONGEZE.

THE LOOK



i love my boot meeeen!!!!!
me myself
pilika pilika za kitaa
mama wawili
i love myself
 umenifurahisha sana wangu @ maumivu yakizidi..............  na maombi yanahitajika