Kuna wakati huwa najichunguza sana sana, nakujitathimini ili niweze kujitambua mimi ni nani,nipo kwa ajiri ya nini, na nani nataka niwe............ kuna kitu bado sijajitambua na sijielewi na wala sitaki kujitambua kwa hili kwa maana halina faida kwangu. Ninapopita katika jaribu fulani, maumivu yake huwa nayapata kwa kiwango ambacho huwa najisemea haya maumivu hayawezi sahaulika ..........lakini jaribu likisha isha nimesahau kabisa............. namshukuru Mungu sana sana kwa hili, maana najiuliza hivi kama ningekuwa na yabeba uuuuuwiiiiii!!!!! sijui km leo ningekuwepo duniani.....................nimemuhurumia sana my mumy jamani mpaka nimelia....... amenibebea mizigo yangu miiiingi na kwa miaka mingi ambayo mimi mwenyewe siikumbuki kabisa..................laana na mikosi iliyozungumzwa juu yangu na watu fulani ananishangaa kwa nini sasa nimekuwakaribu nao kwa namna fulani fulani ambayo haikutakiwa.....( huyo ni mama simlaumu....wanasema uchungu wa mwana aujuaye mzazi) lakini nimejifunza kitu hapa kama ningekuwa nayabeba maisha yangu yasingelikuwa hivi na ahimidiwe Huyu Mungu aliyeniwezesha niwe hivi..... kwa hali yakibinadamu ukikumbushwa neno moja tuu ulilotamkiwa duuuuuuu!!!!! ni neema ya Mungu hata kumuangalia Muhusika au hata kusaidiana kwa mazingira fulani lakini mimi ni nani hata nisisamehe??????? itanisaidia nini??????zaidi yakuniongezea vidonda vya tupo na kukosa amani.nimemwambia my mumy hebu angalia ile laana iliyozungumzwa na maisha yangu, then angalia muhusika aliyezungumza na maisha yake, huna sababu yakuyabeba bali kumshukuru Mungu wangu ambaye hajawahi lala wala kusizia kwa ajiri ya maisha ya mwanao..........
EE MUNGU WANGU ULIENITAMBUA TANGU NIKO TUMBONI MWA MAMA YANGU,AMA KWA HAKIKA NIMEUONA MKONO WAKO SI KWAMBA MIMI NI ZAIDI KULIKO WENGINE BALI NI UPENDO NA NEEMA YAKO KWANGU............... NAJITIA MOYO KWA MAANA UMESEMA HUTANIACHA WALA KUNIPUNGUKIA, JESHI LIJAPO PIGANA NAMI MOYO WANGU HAUTAOGOPA.....................
MOJA YA SAFARI ZANGU AMBAZO NIMEMSHANGAA MUNGU KWA AJIRI YA UKUU WAKE........
huuuureeeeeeee!!!!!
nikurudishie nini Bwana kwa wema na fadhili zako????????
Angalizo
watu km hao wasamehe but try as much as you can to stay away from them........ huo ni mtazamo wangu jamani nahisi am good kwa hilo aisee, we cant change people's behaviour..... hata biblia inatuambua kuna watu wameumbiwa hivyo....wanatumika haswa na wako kazini angalia usije ukamkosesha mwenzio mlo kwakumlazimisha aache kazi kwi! kwi! kwi! ila km usha mjua muombee kimya kimya km ni mmoja wa kubadilika bwana atafanya kwa wakati wake.........ila wewe ili ujiondoe na makwazo yasio yalazima just be nice to them thats it!!!ukaribu karibu usio naulazima potezea........these people ni nouma aiseee!!!!!!hata neno la Mungu linasema tuikimbie dhambi........