Pages

Ads 468x60px

Friday, November 29, 2013

DAD & DAUGHTER TIME

Safari haikuwa majini ila wapenda maji utawajua tuuu ........ wakiyaona maji  safari itapewa mapumziko kwa muda mpaka wakayakanyage hili janga tunalo mimi na mwanangu mdogo(Cristabell) mkituona kwenye maji basi tuu tunateam ndugu zetu  ila hawa wenzetu habari ndo hii..........

hao
jibu la mguu wa Careen wangu mshalipata  kila mwezi kiatu kinambana......

wandugu tufikie pahala tumshukuru Mungu kwa vile alivyokuumba maana mweupe anataka kuwa mweusi , mweusi nae ................ haya sasa huyu nae juani kisa anataka kuwa brown

having fun
naona wamelidhika sasa kwakuloweshana  shughuli kwa mama mtu kuanza kubadilisha nguo mwanae kwenye gari.........

Thursday, November 28, 2013

KITAA


ndani ya harakati za  kitaa.........nilikutana na hizi tshirt  kwa  bei ya mafungu  nikajikuta rangi zote na zipenda, sikuona tabu kujitendea haki nilizibeba ......... hasa kwa hii weather vinahusika sana kwenye vishughuli vyangu..............
i love my ndopa aisee so comfy.......

mimi mwenyewe

Wednesday, November 27, 2013

RACHEL & WAYNE BIG DAY



They made it..............





yummy..........


heading.........
wenyewe wanasema give away
Yes i do ( in rachel's voice)



haya sasa Rachel kateam muke ya Mzungu.....

green imenogaje sasa


tupogo

Muna this is for you............
Jane,I,Diane & Jesca

yummy Tanzania ladies



with makaka

unadekaje sasa

us

ishara ya upendo


ulichonimaliza biharusi ni hichi wewe sio wa maneno neno mengi nivitendo tuu!!!!unamwaga makisi mwanzo mwisho...............

ALICHOKIUNGANISHA MUNGU MWANADAM HAWEZI KUKITENGUA.

KARIBU SAAANA KWENYE ULIMWENGU WA NDOA,MUNGU NDO KASHAKUPA MAMII KAZI KWAKO  USIRUHUSU HATA UFA UKAPENYEZA, UKAJUE MIPAKA YA NDOA YAKO NAKUITUMIA SAWA SAWA, UKAFANYIKE KUWA MWANAMKE MWENYE BUSARA NA HEKIMA. UKATAMBUE KUWA NDOA NI YAKO NA HAIFANANISHWI NA MWINGINE ZAIDI YA YOTE UKAFAIDI MATUNDA YA NDOA.

Tuesday, November 26, 2013

MUONEKANO



Shughuli iliyonileta huku wandugu ni hii.............. onja muonekano na mengineyo endelea kututembelea



haya magari mwenzenu nayatamanije?????

herself



stay tune kuona camera yetu ilimspot nani nani???

wake wakina nani na naniiii walikuwepo kushow love .........


yes it was her BIG DAY...................Team muke ya............

Monday, November 25, 2013

DAY 2

Bado nilikuwepo ...... nasahau kidogo majukumu  kwa muda, ki ukweli nipo busy mpaka najikuta napoteza network kabisa , nakimbizana na Muda lakini mwisho wa siku najikuta naviporo kibao........... hivi ni mimi tuu au na wenzangu mpo hivyo hivyo ......... hasa katika harakati za kutimiza ndoto zetu?????  au mimi ndo nashindwa kujipanga???  mimi huwa nashangaa sana hasa kwa nyie wbeba mabox wenzangu hivi mnawezaje kujipanga kwenda kumtembelea  mtu hadi mara tatu kwa wiki kupiga story tuu hakuna hata kajievent,  hata kampango tuu basi kakuanzisha mradi fulani, au kuzungumzia ka kitu kakimaendeleo fulani.............kama huo ndo urafiki basi mama wawili nimeukosa kabisa muda nilio nao  free asubuhi to jioni ndo kama huu ambao mimi huwa nautumia kifamili zaidi......ni nataratibu kila baada ya miezi miwili mpaka mitatu naenda kujificha au ikitokea sababu kama hii iliyonileta ndo naitumia hasa hata mtu fulani akinituma nimsogezee kijiko najinunisha fulani kwi! kwi! kwi!.......... lakini nikiwa mazingira ya nyumbani kwangu najikuta bado niko full mnoo muda wakuzurura sina ila ninachomshukuru Mungu ni nina watu wananielewa!!!!!!  yaani nina idara zote nikiwa nahitaji mtu wa idara fulani they will always be there for me. inaweza pita miezi hatujaonana lakini tunajua wajibu wetu hasa pale inapobidi...................

wanasema mtoto wa mkulima haachi asili nahisi kuna ukweli ndani yake Muda wote nawaza kulima viazi makete

usishangae hapa nawaza kale kambwa kangu nimekapa chakula kweli maana nisije kosa mlo kesho

myself

napenda kuyaangalia maji ila kuingia ndo ishu hiyo swimming pool  ya nyumbani nahisi haijagusa mwili wangu karibu nusu mwaka sasa ........
 binti wa kimaswitule ( mix ya mkinga, muhehe, mbena na mngoni)    kwa wala mbwa ndo nyumbani............... 

Sunday, November 24, 2013

NIMEJIFICHA.............

Habari wandugu, kumekuwa kimya kidogo nilikuwa mafichoni kidogo, nimewamiss nitarusha kwa kiasi yaliyojili,ila kikubwa Namshukuru mungu mnoo................ ananitetea na kunipa kibari pasipo kuelezeka, ameulinda mguu wangu popote nilipo ingia nakutoka,amani anayonipa inanipa ujasiri mkubwa, hakuna ubishi kwamba katika kila lililo jema shetani nae huwa amejiandaa Habari njema ni kwamba, WANA WA SIMBA WA YUDA TUNASHINDA NA ZAIDI YAKUSHINDA.................

I was here.......
the view from my room

na wawili walikuwepo wale chumbani mwao choka mbaya after a long drive

Karibu tena unitembelee

Thursday, November 21, 2013

A NIGHT TO REMEMBER





ushamba mzigo sijazoea mwenzenu.........

nini sasa ....... nataka kuingia kwenye balloons au???? sijielewi

silly me............

hata wewe ulishindwa kunistua!!!!!! we haya.........

walikuwepo

Lovely couple with Annelise

now am back to my .............

food............

La family ahsanteni kwa kuwakilisha

herself.............  Mrs Barrick Mjema

Beautiful Lisa 

all the way from city.......... ahsante ulinitendea haki


ahsante kwa kuwakilisha.......
my inspiration couple........

with Michell & Anelise

salam zako mamii ahsante kwakuwakilisha.............

with Vicky,Lisa, & Agy



with gorgeous ladies


with Melody and Luke
kikongwe  mie 

siku iliisha hivi........

Katika kufungua fungua nikakutana nacho from hubby.............