inapendeza kuona tunathubutu kufanya kwakujiamini bila kusita...... hatutulii kila siku tunawaza kitu kipya.................. huyu dada anajulikana km blogger lakini siku mbili tatu hizi ametuonyesha hata kwenye mitindo yumooooo......... mdau picha inajieleza.......Hongera sana mamii kaza buti (kisema na wewe kazi kazi)
Wednesday, March 21, 2012
Monday, March 5, 2012
RIP
RIP RAFIKI YANGU,MY FATHER INLAW PETER MBEYELA
TULIKUPENDA LAKINI MUNGU ALIKUPENDA ZAIDI
JINA LA BWANA LIBARIKIWE
Sunday, March 4, 2012
MTAZAMO
Wadau hii kwangu ngumu kumeza mmmmhhhhh!!!!! acha inipite imagine with them shoes!!!!!!!!!msininyasenyese wadau wanasema hivi, ukipendacho wewe si lazima nami nikipende??????????na huu ndo mtazamo wangu wa leo
Friday, March 2, 2012
Thursday, March 1, 2012
WADAU WEEK END MOJA MAMA WAWILI ALIENDA KUTEMBELEA MINES SITE KUONA WENZETU WANAFANYANINI DUUUUUU!!!!! MAMAWAWILI NILIOGOPAJE???????? YAANI NILIKUWA MASAA YOTE NAWAZA HIVI HUU MWAMBA UKIDONDOKA ITAKUWAJE NA MIMI NIMO NDANI???????????????????NAHISI KILE KILIKUWA NIKIPIMO CHANGU CHA WOGA YAAANI NILISAHAU KABISA KM KUNA WATU HUMO KWAO NDO OFISI KM ZILIVYO OFISI NYINGINE...........
KWA KWELI NILIJIFUNZA KITU MDAU ENDELEA KUNICHUNGULIA MDAU NTASHARE KITU HAPA HAPA UWANJANI KWETU KWENYE TOPIC YA MTAZAMO............
yaani hiyo ni ofisi ya mtu
yaani nilifungwa hapo kiunoni ++++++hizo buti nahisi niongeza kg 10
nikakutanae niliishia kupiga goti nakumwambia hongera na pole
mwenye ofice mwenyewe full smile
mama wawili @ list smile niliambiwa hapa ndo if anything happen mnaingia humo then ndo uokoaji unaanza hahahaaaa nilijiona @list nipo safe
alikuwepo nexst office hongera na ahsante sikusita kumwambia
baba wawili na mama wawili
nilishuhudi kifusi cha dhahabu kikibomolewa na huu mmashine
ofisi ya mtu hiyo
UJUMBE: KAZI NI KAZI HESHIMU THAMINI KWA KADIRI KILA MMOJA ALIVYOJALIWA IWE MANAGER, MMBEBA MABOX,KULEA WAZEE .....................................................
Subscribe to:
Posts (Atom)