Haya wadau naomba ni watakie kila la kheri katika kusherekea siku ya MWANAMKE duniani...... Na pia nimeguswa na hili wadau naomba tuwekane sawa .....KUOLEWA NA WAZUNGU AU WABONGO WENZETU,
Katika pitapita nimesoma au kusikia wanawake tuwapa kipaumbele sana wazungu, Na wengine wanajaribu kufanya juu na chini ili waweze kuolewa nawazungu....................
Ninachoweza kusema namshukuru sana MUNGU kwakuweza kuniweka katika hizi jamii zote na kuwa rafiki zangu kwa namna moja au nyingine, kitu ambacho leo naandika nikiwa na 70% ya ushahidi yaani nimejaribu kuwa na urafiki wa ndoa ya wazungu pekee,mzungu na mbongo mwanamke,mbongo na mzungu mwanamke,mbongo na mbongo mwenzie.....wadau ukweli ni kwamba sijaona tofauti kama ambavyo nimesikia na kusoma.
Nimeshudia ndoa ya mzungu akicheat na ndoa bado ipo hata mmoja wapo akigundua ataendelea kuvumilia na wengine wataachana kama tunavyofanya wabongo, nimeshuhudia mzungu akizaa mtoto na akamleta ndani ya ndoa, nimeshudia ndoa ya mzungu haina pesa yaani maisha yao yakubahatisha good luck wenzetu hizi nchi zao wanasystem nzuri hela ya mkate wa $5 watahakikisha mwananchi hakosi lkn $$$$$ za mambo mengine mfano outings,fashions,nyumba nzuri,magari, na mambo km hayo wamefulia km tulivyo wakina sie ....... na pia hata life style nimeshuhudi ndoa za kizungu wanatamani ndoa za kibongo zinavyoishi na wakati mwingine mbongo anawapa ushauri................WADAU HAKUNA TOFAUTI JAMANIIIIIIIIIIIIIIIII
Na pia Yes kunandoa km hizo zinazosikika zaidi yaani ukiolewa ni mtelemko nakubari lkn sio zote wapendwa km nilivyoeleza hapo juu na pia kuna ndoa bado nyingi za kibongo ambazo maisha ni mtelemko kuliko hata hizo lakini hazisikiki DO YOU KNOW WHY MDAU???????? kwa sababu wenzetu wamejariwa neema yakuzungumzia yale mzuri na kuficha mabaya yetu ila sisi ngozi nyeusi tumezoe kuonyesha mabaya yetu na kuficha mazuri yetu yaaani sijui lengo letu ni nini kwa nini tusizungumze ukweliiiiii sikatai km yes sema yes na km no jamani sema noooo ......WADAU I TRULY DONT GET IT!!!!!!!! WHY? WHY?yaani naumia sana (yaani mdau nikifika hapa ndipo nilipotoka na BE YOU) kwa sisi ambao tayari tupo kwenye ndoa iwe ya mzungu au mbongo jamani tunaexperience yakuweza kuwashauri wenzetu na sio kutetea tetea huku tukiwadanganya nakuwapotosha wenzetu.TUPENDANE na TUAMBIANE UKWELI na SIO KUPOTOSHANA (samahani mdau nimekasirika kidogo hahahahaaaaa)
Ok ninachotaka kusema ni hivi kila mtu anamume ambaye Mungu amempangia inahitajika hekima na busara ili umpate na sio km nilivyomsoma mmoja wapo eti anaomba mtu amuunganishie na yeye awe kwenye list, mwingine anakusanya $$$$ akajitegeshe kwenye hoteli fulani yaaani fujo fujo fujo tuuuuuu bora mradi na wewe uwepo ...................yaani mdau hapa tukiendelea tutapotezana na mwisho wa siku tutapoteza maana halisi ya NDOA na kuishi kwa taratibu na sheria bora mradi tu upo ndani ya ndoa ya mzungu uuuuwwwwwiiiii!!!!!
ANGALIZO ninaamini na kuheshimu mtazamo wa kila mtu binafsi anayependa kuolewa na mzungu na aombe Mungu amsaidie hekima na busara ampate na aolewe, na anaependa mbongo nae vile vile Mungu na ampe haja ya moyo wake kwa sababu @ the end of the day hawa woooooooteeee ni wanadam na hakuna ambaye atabadilisha hili tofauti ni rangi tuuuuu wadau. Cha msingi ukiolewa, mwanamke baki kuwa mwanamke na mwanaume abaki kuwa mwanaume NO MATTER WHAT!!!!!! No way mwanake akawa mwanaume na mwanaume kuwa mwanamke NO! NO! NO! NO! na km ndo limbwata km wengine wasemavyo huwa linaisha wadau halafu unaanza kurudi nyuma wenzio wanakimbizana na muda
UNAWEZA KUOLEWA NA MBONGO MWENZIO UKALA LIFE TO DEATH, UNAWEZA KUOLEWA NA MZUNGU UKAFULIA VILE VILE,UNAWEZA KUOLEWA NA MBONGO UKAFULIA NA UNAWEZA OLEWA NA MZUNGU UKALA LIFE TO DEATH.
MUME ANATOKA KWA MUNGU HAIJALISHI MMEKUTA UCHOCHORONI, MTAANI, KANISANI,KUMBI ZA STAREHE, AU ..............................HEKIMA NA BUSARA ZITUMIKE NA SIO KUIGA