Ahsante kwa wazazi wangu, Mume wangu, watoto wangu, ndugu zangu, marafiki zangu ,na wote tulikuwa kuwa pamoja katika safari yangu kwa namna moja au nyingine...... nawapenda sana maana nilipotaka kucheka mlinichekesha, nipolia hamkusita kunifuta machozi,nilipotakakuangua mlinisaidia kuinuka,nilipoleta ndoto zangu kwenu mlinisaidia kuomba nakufanya itimie,nilipotaka kucheza hamkusita kufungua mziki ili nicheze,nilipotaka outing za hapa na pale hamkusita kunikaribisha km mjuavyo napenda kula,kucheka,kucheza,mitoko ndo balaaa, na mengineo mengi yaani .....................mbarikiwe saana sana sanaaaaa!!!!!!!!
haya kwenu my HATERS yaani nyinyi mi nawapendaaaaa mbaya yaaani kwa asilimia kubwa yawezekana nyie ndo mmenifanya niwe hapa nilipo kwani challenge zenu zinanipush vibaya mnooooo..........kwa sababu sipo tayari kuwapa ushindi na hamtopata I say NO NO NO NO !!!!!! FORGET, Yes! am the best and i will still be the best............. endeleeni kukaa vikao vyeni vya kipumbavuu.........si kosa lenu anyway Rose mhando anasema walioshindwa wanamaneno mengi,jua likisogea nao wanasogea. hawajui kupambanunua nyakati.......................aawwwww!!!! that was my song for 2011!!!!!! yaani ushauri wangu wa bure mnapoteza Muda kushughulika na mimi........... mi wapande nyingine kabisaaaaaaaa. Well, sina haja yakujieleza sana coz you know am more than the best......... kwi!kwi!kwi! unabishaaa??????? haya we endelea kusaga lami............
Yes nimesema hahahaaaa!!!!
HAPPY NEW YEAR!!!!!!!