Pages

Ads 468x60px

Wednesday, March 23, 2016

LATE POST.......

Bado naahaika na ku upload ndugu yaani sijui nimechezea vinini kwenye Camera video inagoma ku upload youtube  ha!ha!ha!

 haya hizi picha sijui nilipiga lini huko nimeona bora nizirushe he!he!he!

ka inti ka darasa la ngapi vile ha!ha!ha!



 kapole kenyewe


 kikikiii sijui ndo ku mkiss mpiga picha ama?

oops!!
nawapenda

4 comments:

  1. we nawe eti kabinti usidanganyike na mwili mdogo sura yako imekomaaa huwezi kuwa kabinti na mwili wako umekomaa haswa sasa unajidanganyaje ujue mengine mnayatakaga wenyewe jishaue kwa mipaka chefuuuuuuuuuuuuuuuuu haya bania hii au achia uje ujikomentie mis pretender

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kama nakuona vile ulivyokuwa busy kujua nimeachia comment yako ama? Pole kwa kukugandisha nilikuwa busy sikuingia humu haya furahi basi...... Ka binti vepe nakupenda ila

      Delete
  2. Ulivo mjuaji sasaaa mpk ujibu ungeiachia af umpotezee tu that's classy maskini selemani pole

    ReplyDelete
  3. Una shida wewe haya mwenzio niko busy nimeingia kuja kujihakikishia my stalker is real hahahaa I know huna life jingine zaidi ya hili haya basi km nakuona huko Mama wawili @list amejishusha to your level...... Hahahaa just for few hrs though nakukuonesha hata watu km wewe tunawathamini. Nimetubu basi ngoja mwenzio nikakamilishe ndoto

    ReplyDelete