Pages

Ads 468x60px

Thursday, October 18, 2012

MAMA WAWILI @ HOME

Since mama wawili  is jobless..... chop chop Baba wawili's Monie hahahaaaaa am enjoying  the moment for sure........ tuko busy na wanangu we bond than ever........mabox kwa mda huu hayanilipi kabisa........i booked my girls for swimming lessons from next week ntakuwa busy kuwapeleka na pia nina apointment na wataalam wa gardens nataka nitoe  maua ya nyuma yote nipande mboga mboga kama chinese,okra...........waniambie mboga gani itakubari na weather hii  @ list mwanamke shughuli eti .........

busy busy
my girls love it........mimi sio mtu wa toys sana na wala siruhusu kila wanachokiona kiwe chao......i kids i only allowed to watch dora  the explorer  & Hi 5 wakichoka nawatoa nje waendeshe hilo gari lao limenicost almost $500+ but worth it ...... i dont have to worry too much about the messy 

huyu sasa utamuonea huruma anavyoendesha haelewi button ipi yakupress mwee ataondoka na speed ya kufa mtu.....
tunasafishajee????? yaani we tushtukize tu bila kupiga simu  hahahaaaa huo ndo muonekano so Neat N clean
sasa huyo Careen akija kuniamsha asubuhi Mumiiiiiiiiii wake up its time to clean the house( in Careen's voice) hahahaaaa!!
Baba wawili mwenyewe akirudi anaelewa mke alikuwa nyumbani.........najifagilia  Kwi kwi kwi nani kanuna????
careen's room

Cristabell's room

6 comments:

  1. Rose umebarikiwa sana usimuache huyu Mungu wako napenda unavyowalea watoto wako Eti Mumy wakeup it time......... so sweet

    ReplyDelete
  2. Hongera sana mama wawili nyumba nzuri kwa usafiii hadi inatia raha. Mwanamke usafi na mpangilio mzuri wa vitu vyako vya ndani.

    ReplyDelete
  3. mimi nimenuna !! jamani, tuache utani nyumba ni nzuri sana, i really love it, sasa kwenye watoto's room, tafuta mapazia ya watoto yale it will make it more totolike...:)

    hongera kwa usafi, kwakweli mie huku kwenye vumbi la bongo, usafi ni issue

    nimependa nyumba sana, especially your kitchen

    pangilia vizuri pictures kuna zimekaa upande kidogo

    kigari uwiii nimekitamanije

    heheh from mamaz

    ReplyDelete
  4. wawooo very happy family mi nimgeni hum japo huwa anachunguliaga na furahi unavyoishi kwa kweli umebarikiwa na mungu akulindiea watoto wako.. please napenda bado kujua wewe ni mtu wa wapi na unaishi wapa. kama ulisha wahi toa pos ya kujielezea plz naomba urudie tena love u girl kwakweli huw napata matumani ninapomuona mwanamke mwenzangu anamaisha mazuri na yupo happy

    ReplyDelete
  5. mdau ntatoa post next wk maana hapa hapatatosha hahahaaaa na pia itasaidia kwa wale wote waliowahi niuliza swali km hili......vuta subira....

    ReplyDelete
  6. Mama wawili unanifanya nitamani kuwa na watoto wawili wa kike uuuwiiii they are so happy jamani na vinapendeza sana.
    Mimi nina mtoto mmoja wa kike wa miaka miwili ninajifunza kitu toka kwako my dear.

    Mungu akubariki sana mama.

    ReplyDelete