Pages

Ads 468x60px

Thursday, January 31, 2013

HABARI YA MUJINI.............

NI SILVER BOUTIQUE....... MBALI NA NGUO ,BAG,VIATU, NA MENGINEO  SASA WAMEKULETEA HABARI HII!!!!!!USHINDWE WEWE. WANAPATIKANA  OPP. AZAM TAKE AWAY/JAMUHURI ST. NEAR BENJAMENI MKAPA BUILDING....PIGA SIMU +255756 608 383 OR +255713 608 383
MTEJA KWETU NI MFALME KARIBUNI







VIJISUTI USHINDWE WEWE NA MFUKO WAKO TUUU......

Wednesday, January 30, 2013

BEFORE& AFTER

Kuna wakati huwa najichunguza sana sana, nakujitathimini ili niweze kujitambua mimi ni nani,nipo kwa ajiri ya nini, na nani nataka niwe............ kuna kitu bado sijajitambua na sijielewi na  wala sitaki kujitambua kwa hili kwa maana halina faida kwangu. Ninapopita katika jaribu fulani, maumivu yake huwa nayapata kwa kiwango ambacho huwa najisemea haya maumivu hayawezi sahaulika ..........lakini jaribu likisha isha nimesahau kabisa............. namshukuru Mungu sana sana kwa hili, maana najiuliza hivi kama ningekuwa na yabeba  uuuuuwiiiiii!!!!! sijui km leo ningekuwepo duniani.....................nimemuhurumia sana my mumy jamani  mpaka nimelia....... amenibebea mizigo yangu miiiingi na kwa miaka mingi ambayo mimi  mwenyewe siikumbuki kabisa..................laana na mikosi iliyozungumzwa juu yangu  na watu fulani ananishangaa kwa nini sasa nimekuwakaribu nao kwa namna fulani fulani ambayo haikutakiwa.....( huyo ni mama simlaumu....wanasema uchungu wa mwana aujuaye mzazi) lakini nimejifunza kitu hapa kama ningekuwa nayabeba maisha yangu yasingelikuwa hivi na ahimidiwe Huyu Mungu aliyeniwezesha niwe hivi..... kwa hali yakibinadamu ukikumbushwa neno moja tuu ulilotamkiwa  duuuuuuu!!!!! ni neema ya Mungu hata kumuangalia Muhusika au hata kusaidiana kwa mazingira fulani lakini mimi ni nani hata nisisamehe??????? itanisaidia nini??????zaidi yakuniongezea vidonda vya tupo na kukosa amani.nimemwambia my mumy hebu angalia ile laana iliyozungumzwa na maisha yangu, then angalia muhusika  aliyezungumza na maisha yake, huna sababu yakuyabeba bali kumshukuru Mungu wangu ambaye hajawahi lala wala kusizia kwa ajiri ya maisha ya mwanao..........

EE MUNGU WANGU ULIENITAMBUA TANGU NIKO TUMBONI MWA MAMA YANGU,AMA KWA HAKIKA NIMEUONA MKONO WAKO SI KWAMBA MIMI NI ZAIDI KULIKO WENGINE BALI NI UPENDO NA NEEMA YAKO KWANGU............... NAJITIA MOYO KWA MAANA UMESEMA HUTANIACHA WALA KUNIPUNGUKIA, JESHI LIJAPO PIGANA NAMI MOYO WANGU HAUTAOGOPA.....................

MOJA YA SAFARI ZANGU AMBAZO NIMEMSHANGAA MUNGU KWA AJIRI YA UKUU WAKE........

huuuureeeeeeee!!!!!
nikurudishie nini Bwana kwa wema na fadhili zako????????

Angalizo

watu km hao wasamehe but try as much as you can to stay away from them........ huo ni mtazamo wangu jamani nahisi am good kwa hilo aisee, we cant change people's behaviour..... hata biblia inatuambua kuna watu wameumbiwa hivyo....wanatumika haswa na wako kazini angalia usije ukamkosesha mwenzio mlo kwakumlazimisha aache kazi kwi! kwi! kwi! ila km usha mjua muombee kimya kimya km ni mmoja wa kubadilika bwana atafanya kwa wakati wake.........ila wewe ili ujiondoe na makwazo yasio yalazima just be nice to them thats it!!!ukaribu karibu usio naulazima potezea........these people ni nouma aiseee!!!!!!hata neno la Mungu linasema tuikimbie dhambi........



Monday, January 28, 2013

CHEKA UNENEPE........



Ukiniuliza wimbo ulikuwa unamaanisha nini hata sijui mi mdundo tuuu na kuchanganya mifupa kwi kwi kwi!!!!

Sunday, January 27, 2013

LOVELY TIME WITH TANZANIAN FRIENDS

tuliona tujibague  this time watu Tz land peke yetu  tuliopo maeneo ninayoishi ili tujiachie hahahaaa!!! tulijiachiaje??? kula kwa picha tuu......
habari zetu ndo hizo kula kwa picha
the song was Mama ni mama yako usimzarau wa Bony Mwatege........
Muke halali ya Slay iko busy...........
Ahsante my shemeji zilikuwaje tamuuuuuu........
Mutu na ma uncle..........
ooooh yeah!!!!
baada yakushiba tulitafuta style za mdura  ( mzee Yusufu) hahahaaaa!!! am not a fan wa miduara but ikitokeaga event like this najikutaga na mimi mwenyeji........... kesho ntaweka video kwi kwikwi!!!
Mrs Majige & kids
mama na wana + Mrs Chigugu
mother houz ...........
nje nako kulinoga km hivi

Friday, January 25, 2013

HAIR DO


Kwa kweli nimewapotezeaje haka kawiki????? nadekaje mie? nikirudi kubeba mabox  sitamani chochote zaidi yakujilaza pembeni ya my mumy hahahaaaaa!!!! hakuna kublog wala nini............ hahahaaaa!! back to normal next week............. nishadeka na kumaliza utam ila hamu bado haija isha............

ananisuka style za miaka hiyooooo...........
hapo chacha nani kama mama???????

Wednesday, January 23, 2013

PHOTO OF THE DAY

Ngominguluvi &kids.........a.k.a mnyalu ( mla m..a) hahahaaaa!!!!
MAMA NA WANAWE
MY SEGITO! Hakunaga.......

girls......

Tuesday, January 22, 2013

KITAA NA SIE

Tunamuonesha bibi muji.........

anakomaje na joto.......
  busy na wao
tumechokaje???? tunachokitafuta mpaka tulikipata
tulishangaa mara moja tuuu tuka sepa
hicho kitv ndicho kilichotushughulisha........ wawili sasa nahisi tumewaweza maana tukiwa na wageni ukijifanya unawafukuzia game room dakika tano watarudi na kukwambia mumy we tired in the game room we wanna watch Dora..... hapo chacha mbele ya mgeni  hawanaga lolote basi tuu attention seeker hahahahaaa!!!
wenyewe ndo hao....

half view of my game room

Friday, January 18, 2013

WELCOME TO AUS LAND MAMA WA ROSE

 Haya sasa mgeni wetu huyo kaingia mujini...............


tuliwahijeeeee??????

mama na mwanae ( habari ya mgeni huyu sasa asiniambie bwana mi manywele yako feki huwa na kwambia kila siku uyaache......... angalia sasa zilivyokupunyuka hahahahaaaaaa!!!! namwambia huku sio kupunyuka ndio fashion yake alivyojibu aaah! bwana basi uwe unafunga kilemba kwi kwi kwi....... so guys kwa muda huu atakaokuwepo vinywele vyangu vitahusika sana au kuoka my mumy never like fake hair........ just for her

hapo chacha........ MY HERO ......... kitu kilichoninyima raha nilijua my mama ana kisukari kilichojulikana si zaidi ya mwaka lakini sikujua kwamba kiko kihivi chakula chakuchagua!!!!!!! guys i want to feed my mumy bila kikwazo..............sifurahi kumuona Eti anakula chakula kisicho na test.............OMG!!!!! plz email me diet za kisukari.......... i will google too....... i need to see a Doctor  kwa kweli
hatujielewi kabisa............
hapo chacha ( lady bug) baada ya hapo alitokea SLAY weee lilipigwa goti hapo nilimuoneaje huruma baba wawili maana sikumuelewa anataka kumuinua mama mkwe wake au alikuwa anamuhurumia kwa hilo goti alilopigiwa hahahaaaa!!!! hao wadhuuuunguuu sasa hawakumuelewa my mum @ ol
hahahahaaaa!!!!! ahsante girlfriend bila wewe  the English zey w'r going to b ze problem hahahaaaaa!!! nisingepata picha yake @ Dubai airport kwi!kwi!kwi! Thank you so much..........

Thursday, January 17, 2013

NIMEKUWA MDOGOOOOOO!!!!!

mama wawili leo siku  sio yenyewe duuuu yaani imenigomeajee kila nikipotezea maumivu yake ni nourmaaa.......... sorry kwa Baba wawili anajitahidi sana kuniliwadha  mmmh!!! wanangu wamejua kabisa leo sio............ anyway yote ni mitihani ya maisha hakuna mteremko, milima na mabonde nikawaida sana labda uwe hujauumbwa.............. Ninachojitia moyo ni kwamba Mungu wangu yupo kazini hata iweje  muda na saa ya ushindi i karibu...............

"jaribu ni kawaida ya mwanadamu lakini bwana hawezi kukuacha"

nijapo pita kati ya bonde la uvuli wa mauti kamwe sitaogopa mabaya...........nipe macho nione Mungu wangu, fungua ufahamu wangu nikuone Bwana...........nakungoja, bado nakungojaa, 
Bwana ni Nuru ya maisha yangu nimuhofu nani???? majaribu humwinua mtu katika  kiwango cha imani........
love you my people............... 


Wednesday, January 16, 2013

UBUSY NA MAMA WAWILI

Yaani jana niliona niwapotezee kabisaaaaa,  muda wakublogua haukuwepo kabisa, nilivyotoka kulea wazee wangu tuu shughuli niliyokuwa nayo ndo hiyo........maana huyu mgeni wetu anaekuja bwana ni jembe asikwambie mtu!!!!!! ukimwaacha tuu bila shamba hachelewi kukuaga hahahaaaa!!!!
kikaz zaidi
maandalizi
 hapo chacha nishaanza kuchemsha hahahaaaa

hapo chacha
lilikuja jembe lingine hapa duuu
haikuchukua round
kwishenea
jamani i didnt mean kuleta kilichojiri baada ya hapo....... but hey!!!!!! it feels so good unapokuwa home  someone just ring  you kucheck km uko nyumbani nakukwambia nakuja na dinner or lunch au nanunua kitu fulani tunakuja kupika na familia yangu tule pamoja kwako halafu sio mtu mmoja ni tofauti na mataifa tofauti.............kwa huku kwenye nchi za watu mmmh!!! its a blessing kwangu jamaniii kwa kweli unaweza ona kitu chakawaida  lkn kwangu namshukuru sana Mungu kwa hili saaanaaaaaa...........
kukifull huwa nawahifadhi game room hahahaaaaaa!!!!

Love you my people